Mabingwa wa Kihistoria wa Tanzania Bara Yanga SC leo Machi 8, 2020 wamekataa unyonge, na kumchapa mpinzani wao wa jadi Simba bao 1-0 kwenye Uwanja wa Taifa, bao pekee likifungwa na Mghana Bernard Morrison kwa free-kick. Katika mchezo huo, Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli alikuwepo uwanjani.
#WataniWaJadi #YangaSimba #YangaVsSimba #DarDerby #KariakooDerby
Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
►
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Nguồn:https://phprealestatescript.com/
Xem thêm Bài Viết:
- Danh sách các phần mềm cần thiết khi cài lại win mà bạn phải nắm rõ!
- Cách tạo USB diệt Virus cứu hộ máy tính với Kaspersky từ A – Z
- Hướng dẫn học Adobe flash căn bản – Bài 1- Motion tween
- Top 5 phần mềm diệt virus tốt nhất hiện nên dùng .
- Hướng dẫn tắt diệt virus tường lửa 100% thành công trên win 10 |2020
Kennedy anahitaji muda kidogo lakini ni beki mzuri sana
Mwenye bahati ana bahati tu
Morsson nishidaaaaa
kuanzia lini simba akafugwaa mjini? wanyama wako polini wa mji ni katuni tu
Wape salam.Yanga oweee
Wape salaaaaaaaaaaaaaam
Calvin yondan aspewe namba tawi la simba
i love the way Tanzania support their football league ,in uganda even the top clubs like KCCA FC & VILLA cant get namboole stadium fill up at full capacity .
yanga oyeeeee
Yanga daima
Kama yanga wangekuwa makini goli tatu tungeondoka nazo
Lile swali la sale mmeitoa wap limejibiwa au tuoneshe formula
Yanga oyeee chama la wananchi…
Simba walikosakosa lakini duuh!
Yanga baba Lao
Hapo wa kwanza kulaumiwa ni Mkude halafu wa pili ni Manula kwa kuchelewa kurudi langoni
da kwel wanawake wakiwezeshwa wanaweza M200 ndo zimetufunga
wameshnda but ubngwa ng´ooo
yanga mafundi duh
Goli mlilotufunga si la jasho kama kuokota embe chini ya mnazi tunawasubili azamu federetion tutalipiza tu
Sijakata tamaa simba lazia awe bingwa
Kazi ya mkude hiyo mbavu zake alafu na Uyu mze wetu magufuli Kira akija kuitazama simba kwann uwa inafungwa
Ndio timu ya wananchi hyo! Hongera Yanga!
Asante yanga kwa kutupa ushindi
wanaume
Ahsnten wananch